Skip to content
Advertisements

Video;Exclusive :: Hii ndio Tofauti ya Vevo na Youtube

Kumeibuka ubishanani mkubwa kwenye mitandao ya kijamii mara baada ya  msanii Diamond platnumz kuachia ngoma yake mpya “Hallelujah” Baada ya ngoma hiyo  kuvunja rekodi ile ya ngoma ya “Seduce me ” ya ali kiba kwa kupata views 1 million ndani ya masaa 15hrs tu tofauti na Alikiba aliyepata idadi hiyo kwa masaa 28hrs.Mashabiki wamekuwa wakitupiana maneno kubisha kuhusu Vevo na YouTube nimekuletea makala inayoelezea tofauti kati ya vevo na YouTube.

Advertisements
%d bloggers like this: