Skip to content
Advertisements

Z-ANTO ATOKWA POVU KISA BINTI KIZIWI

Msanii Z anto

STAA aliyewahi kuwika na Kundi la Tip Top Connection, Z-Anto ametokwa povu baada ya kuulizwa kuhusiana na aliyekuwa mchumba wake, Sandra ‘Binti Kiziwi’.
Z-Anto aliyewahi kubamba na Ngoma ya Binti Kiziwi na Kisiwa cha Malavidavi aliulizwa kama bado ana mawasiliano yake japo yupo kifungoni China na kwamba endapo akirudi atarudiana naye.

Sipendi na sitaki kuhusishwa katika vitu hivyo. Niulize kuhusu muziki. Kesho (Leo Jumatatu) natarajia kuachia ngoma mpya ya Kacheze Unapochezaga hapo ndiyo ungeniuliza labda imekuwaje ninatoa audio na video bado ningekujibu video nitatoa Ijumaa na siyo kuanza kuzungumzia mambo yaliyopita.”

Advertisements
%d bloggers like this: