Skip to content
Advertisements

Hamisa amjibu Idriss Sultan “Mtoto anapangwa na mungu”

Mama Abdul Naseeb “Hamisa Mobeto”

Mzazi mwenzie na msanii Diamond platnumz “Hamisa Mobeto amemjia juu mchekeshaji Idriss Sultan baada ya kuandika ujumbe wa kumtakia Diamond Platnumz heri ya siku ya kuzaliwa ujumbe ambao haukumpendeza hamisa.

Ujumbe Wa Idriss Sultan kwa Diamond Platnumz

Baaada ya kuandika ujumbe huu Hamisa alitoa maoni yake kwa kumjibu Idriss na kuonekana kutopendezwa hata kidogo na kudai Idriss amekuwa akimfatilia sana.

Jibu la hamisa kwa “Idriss Sultan”

Advertisements
%d bloggers like this: