Skip to content
Advertisements

Paul wa PSquare azidi kuwasha moto kwa Pacha wake!

Paul Okoye “Rude Boy”

Kumbe “Bank Alert” ulikuwa wimbo wa Paul ila aliamua kuufanya kama wa kundi (PSquare) kwa kumuweka ndugu yake, Peter Okoye.

Sasa kupitia Twitter, Paul anadai alifanya kosa kubwa sana kwenye maisha yake na ANAJUTA kufanya wimbo ule na pacha wake, Peter Okoye. Hivyo hata danganyika tena kufanya kitu kama kile.

Advertisements
%d bloggers like this: