Skip to content
Advertisements

DAVIDO NDANI YA KESI NZITO YA MAUAJI

Mwimbaji Davido kutoka “Nigeria”

Mwimbaji staa wa Nigeria DAVIDO ameingia ndani ya tuhuma nzito ya mauaji.
Hii ni baada ya Muigizaji wa Nollywood, Caroline Dunjuamo kudai Davido ameutupa mwili wa kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Tagbo.
Kupitia Post yake hapa Instagram ambayo tayari ameifuta, Caroline @st_lilybeth aliendelea kudai kuwa #Tagbo alipoteza maisha akiwa ndani ya gari ya #Davido, na Davido aliamua kuutupa mwili kando ya hospitali Kuu ya Nigeria ili kupoteza ushahidi.
Kukazia tu, Mwanadada huyo amesema sheria itafata mkondo wake.

Advertisements
%d bloggers like this: