Skip to content
Advertisements

Soma Habari mchanganyiko

Kagera: Mtoto wa miaka miwili afariki kwa kuungua moto baada ya ndugu yake kuwasha kiberiti na kupelekea kuteketea kwa nyumba waliyokuwamo.

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yatangaza uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata 43 nchini. Uchaguzi huo utafanyika Novemba 26, mwaka huu.

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani amesema kwa sasa ajali za barabarani zimepungua na nidhamu ya madereva barabarani ni nzuri. 

RWANDA: Kiongozi wa upinzani, Diane Rwigara ashtakiwa kwa makosa ya kubuni stakabadhi bandia na kuchochea uasi dhidi ya serikali. 

Katibu Mtendaji Chama cha Maendeleo ya Watu wa Asia (TADA) Dinesh Vaishnav akikabidhiwa leseni ya uchapishaji wa Jarida la β€œTADA Newsletter” 

TTCL yaomba radhi kufuatia ujumbe ulioonekana kwenye ukurasa wake wa #Twitter mapema leo asubuhi.

Advertisements
%d bloggers like this: