Skip to content
Advertisements

Breaking News: Rais Magufuli ateua baraza jipya la Mawaziri

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli, leo October 7 amefanya mabadiliko ya baraza la Mawaziri na kuongeza wizara mbili, hivyo kufikia wizara 21 kutoka 19 ambazo zilikuwepo. 

Tukio hilo limetokea leo ambapo Rais Magufuli pia amezigawa Wizara ya Kilimo, Mifugo, Uvuvi na kuwa wizara ya Kilimo pekee na Wizara ya Mifugo na Uvuvi peke yake, pamoja na Wizara ya Nishati na Madini kuwa wizara mbili tofauti. 
Sambaba na hilo pia Rais Magufuli amemteua Mh. George Haruna Mkuchika kuwa Waziri Ofisi ya Rais Utawala Bora, ambaye kabla alikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge. 
Mawaziri hao wanatarajiwa kuapishwa siku ya jumatatu Oktoba 9, 2017, Ikulu jijini Dar es salaam. 
Kwa ufupi. 
Mahiga, Mwakyembe, Kabudi, wamendelea na wizara zao. 
Hussein Bashe: TAMISEMI 
Katibu wa Bunge: Aondolewa na kuwekwa mpya 
Medadi Kalemani: Wizara ya Madini (imegawanywa kwa sasa) 
Angela Kairuki: Waziri wa Nishati na Madini.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: