Skip to content
Advertisements

BIZZAREWachumba waliokaa miaka 6 bila kugusana wafanya mapenzi hadharani mbele ya wakwe

Wachumba waliodumu kwa miaka sita kwenye uchumba wao bila kuingiliana kimwili wamejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kushindwa kuzuia hisia zao na kujikuta wakivunja amri ya sita katikati ya sherehe ya harusi yao mbele ya wake zao.
Wanandoa hao raia wa Uholanzi ambao majina yao yamefichwa kwa sababu za kiusalama walishinikizwa na mama yao upande wa Mwanamke wafanye hivyo baada ya kuona mtoto wake akiwasialiana kwa njia ya ‘video call’ kwa muda mrefu na kumsumbua kwa kulilia ndoa akidai anapitwa na vitu vingi.
Ndipo mama huyo aliyeonekana kuwa mwenye shauku ya kuona mtoto wake akiolewa alipomshauri amnyonye sehemu za siri za mchumba wake kama ishara ya upendo mbele ya wazazi wao na ndugu waliohudhuria kwenye tukio hilo.
Sio mwingine bali ni mpiga picha wa tukio hilo ndiye aliyevujisha mchezo huo kwa kuweka picha hizo mtandaoni.
“Hii ndio ndoa ya wapenzi walioshindwa kuzuia hisia zao mbele ya wakwe zao wameona muda wa kumaliza sherehe hizo ni mrefu ,“ameandika mpiga picha maarufu nchini Uholanzi, Michel Klooster na kuposti tukio hilo kwenye tovuti yake

Hata hivyo mpiga picha huyo, Michel Klooster amedai kuwa hakutaka tukio hilo lijulikane kwa watu wengi


lakini amejikuta akishindwa kuvumilia kutoa siri hiyo baada ya kuona ukubwa wa jambo hilo.


“Najua ilikuwa ni sherehe ya kifamilia lakini tukio hilo ni kubwa sana linanifanya nishindwe kuhimili kusema ukweli mbele ya kadamnasi lilikuwa ni tukio la kustaajabisha, niliona ndugu wakimtunza lakini baadae wakati nikiendelea kupiga picha nikaona wamegandana ndimi zao mbele ya wazazi wao wote wanne na baadae Bi. Harusi akamvua suruali mmewe na kuanza kumnyonya sehemu za siri watu walishikwa butwaa!“amesema Michel Klooster.


Hata hivyo mpiga picha huyo wa tukio hilo amesema ilikuwa ni harusi ya kipekee kwani kila mtu alikuwa kimya akishuhudia wawili hao wakipewa somo na mchungaji huku hakiwa wanatazamana.


“Anayedhani mimi sipo sahihi kwa kurekodi tukio hili nadani atakuwa anakosea, mimi nimepiga picha kwenye matuko mengi ya harusi lakini hili kwangu lilikuwa la kihistoria, na yeyote anayedhani mimi sikuwa sahihi atakuwa anaishi miaka ya 1996, kwani licha ya kupiga picha nyingi ila picha za tukio hilo zinathamani kwa miaka 10 zaidi, siwezi kukaa na kimya kwa tukio kama hili nastahili niwape furaha watu wasio wahi kusikia matukio kama haya maisha yana upande wa kustaajabu.“amesema mpiga picha huyo Klooster kupitia mtandao wake wa MICHEL KLOOSTER.

Advertisements
%d bloggers like this: