Skip to content
Advertisements

Justin Bieber arejea kwenye ulimwengu wa Mapenzi 

Unaambiwa macho ya watu yaliwaona mara mbili wakiwa pamoja Kanisani mjini Beverly hills siku ya Septemba 27 na Oktoba 4. Umeripoti mtandao wa #UsWeekly.

Baada ya Ibada ya October 4, #JustinBieber na mchuchu huyo mpya #PaolaPaulin ’26’ ambaye ni Muigizaji, walitoka pamoja kupata chakula cha usiku, kwenye hoteli iitwayo Soho House.

Advertisements
%d bloggers like this: