Skip to content
Advertisements

Mtoto afanywa Mungu Nepal

Wabudha na wahindu wameshirikiana kumfanya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitatu ,Trishna Shakya mungu wao huko Himalaya Nepal.


Wabudha na wahindu wameshirikiana kumfanya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitatu ,Trishna Shakya mungu wao huko Nepal.
Waumnini hao wameamua kumheshimu na kumuabudu mtoto huyo kuanzia sasa.
Kwa mujibu wa habari,mtoto huyo amebebwa na waumini hao na kupelekwa katika moja ya hekalu katika mji mkuu wa Nepal.
Mtoto huyo wa kike ataishi ndani ya hekalu hiyo mpaka atakapokuwa mtu mzima.

Advertisements
%d bloggers like this: