Skip to content
Advertisements

Orodha kamili ya mawaziri walio teuliwa na Raisi JPM

Mapema leo mhesimiwa Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli alifanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri ikiwemo kuongeza baadhi ya wizara pamoja na kuteuwa baadhi ya mawaziri ambao ni wapya ifuatayo ni orodha kamili ya mawaziri ndani ya baraza hilo.

Advertisements
%d bloggers like this: