Skip to content
Advertisements

Waganda wamjia juu Diamond Platnumz

Msanii Diamond Platnumz

Baadhi ya wasanii wa Uganda wamelalamikia Diamond Platnumz kulipwa 700 million za Uganda kuperfom usiku huu katika Kampala City Festival huku msanii maarufu zaidi eneo hilo akilipwa 4 million za Uganda. 
Diamond ambaye ndie mtumbuizaji mkuu katika event hiyo amewekwa Kama international artist. Baadhi ya waganda wameungana kupinga Diamond kudaiwa kulipwa pesa nyingi hivyo kukiwa na pengo kubwa kwa msanii wa Uganda. Lakini baadhi ya waganda wamesema kwa hadhi yake Diamond anastahili pesa hiyo na wanachotakiwa kufanya wasanii wa Uganda ni kufanya muziki wa kimataifa ili malipo yaongezeke.

Advertisements
%d bloggers like this: