Skip to content
Advertisements

HABIKI AMTOLEA POVU AKOTHEE UZEE UMEMUINGIA AVAE KWA KUJISITIRI

Mwanamama Mwenye Watoto Watano Kutoka Nchini Kenya Amabye Pia Ni Mwimbaji Lakini Vile Vile Ni Mfanya Biashara Ambaye Ameonyesha Jinsi Gani Unaweza Kupambana Na Kufikia Malengo Yako Licha Ya Matatizo Na Vikwazo Ambayo Utakutana Navyo Katika Maisha Yako Akothee.
Ni Moja Kati Ya Msanii Ambaye Amepata Nafasi Ya Kushinda Tuzo Mwaka Jana Afrimma Kama Msanii Bora Wa Kike Africa Mashariki Ambapo Na Mwaka Huu Amechaguliwa Kuwania Tuzo Hizo Ambazo Zinatarajiwa Kufanyika Kesho Kutwa Jumapili Huko Texas Dallas.
Sasa Kuna Picha Ambayo Imezua Kizaa Zaa Baada Ya Mwana Mama Huyo Kuweka Katika Ukurasa Wake Wa Instagram Na Watu Kuanza Kumimina Sifa Kedekede Kwa Kumsifia Rangi Ya Ngozi Yake Lakini Kumbe Kuna Wengine Hawakufurahishwa Na Picha Hiyo Ya Madam Boss Na Kuamua Kutoa Povu.


enyukungoziSo lovely
tasha_luseno Wow
begotten_oneGosh. So adorable
nikichizoYellow and white on melanin soo beautiful mama

jescarramsonI lke u colour an am sure u’r proudly of it as I do @team_akothee

simbabenedict Uzee umekuingia, wazungusha vichupi humu bado, afu chunga usijivunje uti wa mgongo maana sivyo ulo jipinda hadi hupumui
Shabiki huyo amemtaka Akothee aachane na mambo hayo kwakuwa umri wake tayari umesonga sana na hivyo hatakiwi kuendelea kuweka picha zake hivyo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: