Skip to content
Advertisements

Ibrahim Kalın : « Umoja wa Mataifa unaitaji kufanyiwa mabadiliko »

Msemaji wa ikulu ya rais mjini Ankara Ibrahim Kalın asema kuwa Umoja wa Mataifa unaştaji kufanyiwa mabadiliko.
Ibrahim Kalın amesema kuwa wanachama wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa hawatopoteza ushawishi wao na maslahi yao. Ibrahim Kalın amesema kuwa Umoja wa mataifa unaitaji kufanyiwa mabadiliko katika mfumo wake.
Hayo msemaji wa ikulu aliyazungumza katika mkutano wa Al Shaq wa mwaka 2017 ambao huwa ukiandaliwa kila mwaka kwa ushirikiano baina ya wizara ya utalii na utamaduni, Sshirika la kutoa misaada ya kiutu la TİKA na kituo cha habari cha kimataşfa cha Al Jazeera.
Ibrahim Kalın amesema kuwa iwapo mfumo wa Umoja wa Mataifa unaendelea kama ulivyo sasa basi utapoteza muelekeo wake .
Iwapo Umoja huo unashindwa kutatua mzozo wa Syria na mzozo wa nyuklia basi Umoja huo unapoteza muelekeo na muhimu kufanyiwa marekebisho.
Umoja wa Mataifa uliundwa baada ya vita vya pili vya dunia n kuwa na malengo ambayo sasa yanahudhuriwa kutokupewa umuhimu wala kipaumbele.

Advertisements
%d bloggers like this: