Skip to content
Advertisements

DOGO JANJA: UWOYA KANIGOMBANISHA NA DEMU WANGU!

HIT maker wa ngoma ya Ngarenaro, Abdulaaziz Chende ‘Dogo Janja’, amefunguka kuwa skendo inayosambaa ikimhusisha yeye na Queen wa Bongo Muvi, Irene Uwoya, kuwa wanavunja amri ya sita kisirisiri, ishu hiyo imeleta mgogoro wa kukata na shoka kati yake na mpenzi wake, ambaye anadhani huenda labda ishu hiyo ina ukweli ndani yake.

Dogo Janja ambaye hata ashikiwe mtutu wa bunduki, hajawahi kukubali kuwa ni Kiben-ten wa Uwoya, alifunguka:

Sina uhusiano wa kimapenzi na Uwoya, kwanza hii ishu imeniletea ugomvi na Mamlai wangu {mpenzi wake}, ni stori ambazo zipo nazisikia, Uwoya ni mshikaji wangu tu tunawasiliana mara chache sana, lakini mapenzi naye sina.”


Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: