Skip to content
Advertisements

UNAHISI CARDI B YATAMKUTA KAMA YA DESIIGNER NA PANDA?

Mafanikio ya mwanadada Cardi B yapo kwenye historia ya muziki tayari, Kitendo cha ngoma yake “Bodak Yellow au Money Moves” kuendelea kubaki namba moja kwenye chati ya Billboard Hot 100 kwa wiki 3 mfululizo ni ishara wazi mrembo huyo mwenye miaka 24 anaendelea kukubalika kila kukicha.

Licha ya kuonekana kukubalika na baadhi ya watu, lipo kundi la watu ambao wazi wanaonyesha kutokua na imani na Kipaji cha Cardi B, wapo wanaodai anajaribu kuja na Ideas za watu kwenye flow zake, huku wengine wakidiriki kusema huenda Offset wa Migos ndio anamjaza baby wake madini.
Kinachofanya watu kutokua na imani na Cardi B ni kile kinachoonekana kuwepo kwa ngoma nyingi za mrembo huyo lakini “Bodak Yellow” pekee ndio imeonekana kuwa na mashabiki wengi zaidi.
Unaweza Kuzicheki Hapa Baadhi Ya Ngoma Zake:

Swali: Kwa tuhuma hizo, unafikiri Cardi B yatamtokea kama yaliyomkuta Desiigner na PANDA?, Yaani Baada ya Bodak Yellow tunaweza tusimsikie tena Cardi B akifanya vizuri?.
Kama umemfuatili Vizuri unaweza kutuambia pia unamuona wapi Cardi ndani ya miaka 2 ijayo?

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: