Skip to content
Advertisements

FLAVIANA MATATA KULA SHAVU LA KUTANGAZA MAVAZI NA VIATU VYA SWIZZ BEATZ?

Flaviana Matata yupo kwenye nafasi kubwa ya kuja kuwa moja ya models watakaotangaza brand ya nguo, viatu na vitu vingine ya Bally and Swizz, ya producer wa Marekani, Swizz Beatz. Amepost picha akiwa London na huku mguu amenyuka kiatu cha brand hiyo.
Flavy anayeishi New York ameandika, โ€œThe most comfy kicks and my new fav pair, congratulations @therealswizzz #BallyxSwizz ๐Ÿ‘Ÿ๐Ÿ‘Ÿ.โ€
Ikumbukwe kuwa siku ya uzinduzi wa Bally and Swizz alikuwa mmoja wa mastaa walioalikwa na majuzi Swizz alimpa jina โ€˜Swag Queen.

Advertisements
%d bloggers like this: