Skip to content
Advertisements

MADEE: ILIKUWA NIWE BONDIA

RAPA anayetamba na Video ya Sema aliyomshirikisha mwimbaji mahiri Nandy, Hamadi Ally ‘Madee’ ameweka wazi kuwa kabla ya kuibukia katika muziki, ndoto zake zilikuwa ni kupigana ngumi yaani ubondia.

Akipiga stori na Risasi Vibes, Madee alisema ndoto zake za kuwa bondia wa ngumi za kulipwa ziliyeyuka baada ya kubaini kuwa pia alikuwa na kipaji cha muziki.

“Tangu nikiwa mdogo, nilitamani kuwa bondia, nilifanya kazi hiyo huku nikiwa na matarajio makubwa maishani, ndoto zangu ziliyeyuka baada ya kubaini kwamba nina kipaji kikubwa cha muziki, nikaacha na kufanya muziki ingawa naamini siku moja nitarudi kwenye fani hiyo,” alisema Madee.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: