Skip to content
Advertisements

kocha Ronald Koeman yupo kwenye hatari ya kutimuliwa Everton

Hali siyo shwari kwenye dimba la Goodison Park baada ya kuwapo taarifa za Rafa Benitez kumbadili kocha Ronald Koeman ili kukinoa kikosi hicho cha Everton. 

Wamiliki wa klabu ya Everton wamefikia hatua hiyo baada ya kuona kwamba kuna haja ya kufanya mabadiliko kwenye timu hiyo ili kuhakikisha inafikia malengo waliyojiwekea msimu huu kwenye Ligi Kuu ya England. 
Wachezaji wa kikosi hicho wamepewa angalizo kuongeza bidii kwenye kila mechi iwapo wanahitaji kuendelea kufundishwa na kocha huyo kabla kibarua chake hakijaota nyasi.

Advertisements
%d bloggers like this: