Skip to content
Advertisements

Majeruhi wa shambulizi la Mogadishu kutibiwa Uturuki

Msemaji wa ikulu ya rais mjini Ankara asema kuwa watu waliojeruhiwa katika shambulizi la mjini Mogadishu watapewa matibabu nchini Uturuki
Msemaji wa İkulu ya rais mjini Ankara Ibrahim Kalın asema kuwa watu waliojeruhiwa katika shambulizi lililotekelezwa mjini Mogadishu na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 50 watapewa matibabu nchini Uturuki.
Taarifa hiyo msemaji wa ikulu Ibrahim Kalın aliitoa katika kurasa zake katika mitandao ya kijamii.
Katika tangazo lake Ibrahim Kalın ametoa mkono wa pole kwa familia za wahanga.
Chini ya amri ya rais Erdoğan ndege ya matibabu ya jeshi itajielekeza nchini Somalia kutoa matibabu na kuwasafirisha majeruhi

Advertisements
%d bloggers like this: