Skip to content
Advertisements

Director Jowzey ndani ya tuhuma nzito za ngono

Mrembo aliyeosha kwenye ‘Vichupa’ kadhaa vya Bongo Flava ikiwemo Akadumba ya Ney Wa Mitego, Tatu Chafu ya Jay Wa Mitulinga na Shori ya Kamikaze, Asha ‘Kidoa’ Sallum, amemporomoshea shutuma nzito Mtayarishaji wa Video za Muziki nchini aitwae Jowzey kuwa anatabia ya ‘Kuhondomola’ na Video Vixen.
Kidoa Ameiambia Bongo.Home Jumapili iliyopita kuwa, imefika pahala Director Huyo anakosa Warembo wapya wa kuwatumia kwenye ‘Vichupa’ hali inayomfanya kuwarudia wale wale kila siku.

Kidoa

“Kuna huyu Director anaitwa Jowzey, anatabia ya kutembea na Video Vixen ndio maana unakuta kila video anayofanya, anawatumia wale wale tu kila siku hakuna jipya tena” Amesema.

Advertisements
%d bloggers like this: