Skip to content
Advertisements

Mashindano ya kwanza ya ulimbwende kwa walemavu

Masindano ya kwanza ya ulimbende kwa walemavu wanaotumia beiskeli nchini Poland
Masindano ya kwanza ya ulimbwende kwa wanawake walemavu wanaotumia beiskeli wafanyika kimataifa nchini Poland.
Katika mashindano hayo mwanafunzi katika kitengo cha saikolojia kutoka Belarus kwa jina la Aleksandra Chichikova aibuka mshindi.
Walimbwende kutoka Angola, BeลŸarus,Brazil, Canada, Chile, Finland, Ufaransa, Guatemala, India, Italia, Mexico, Moldova, Uholanzi, Poland, Urusi, Afrika Kusini, Ukraina na Marekani walishiriki.

Advertisements
%d bloggers like this: