Skip to content
Advertisements

SANCHI: BAADA YA KUSHINDA IJUMAA FIGA BOMBA GIRL 2017, MAHARI YANGU NI ZAIDI MILIONI 10

JANE Rimoy Sanchoka au Sanchi , ni jina la msanii ambaye amejizolea umaarufu mkubwa katika viunga vya burudani Bongo baada ya kuonekana kufanya vizuri katika kupamba video vya wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, au kama wenyewe tunavyosema, Bongo Fleva.

Umbo lake kubwa limemfanya kuwa kivutio, ingawa mara kadhaa wadau wamekuwa wakihoji uhalali wa mwili wake, wakihofu kuwa huenda anatumia madawa ya kuongeza ukubwa, ambapo hapa kwetu zinafahamika zaidi kama Mchina akifanya mahojiano na Global TV Online katika ofisi za Global Group zilizopo Sinza-Mori jijini Dar jana jioni.

Sanchi amesema kabla ya kushinda taji la Ijumaa Figa Bomba Girl 2017 mahari yake ilikuwa milioni 10 kwa sasa mwanaume atakayefunga naye ndoa ajiandae kulipa zaidi ya milioni 20.

 

Advertisements
%d bloggers like this: