Skip to content
Advertisements

ROSA REE ‘MKATABA WANGU THE INDUSTRY UMEISHA’

Mrembo na mkali wa Rap Music Rosa Ree ameweka wazi kuwa kwa hivi sasa hayupotena The Industry ambayo inamilikiwa na Nahreal na Aika.

Rosa ree

Kama unakumbuka Mrembo Rosa Ree amefahamika nchini kwa style ya music anayoimba na kuwavutia watu wengi.Rosa Ree amewahi kutamba kwa wimbo wake wa ‘Up In The Air’ na hivi sasa amaetoa wimbo Mpya ambao uanajuliakana kwa jina la DOW
Kwa muda sasa ilisemekana kuwa mrembo Rosa Ree ametengana na Music Label(TheIndustry) na Hatimaye Rosa Ree amefunguka na kuelezea kwa kile kinachosemekana kuwa ametengana na Label ya TheIndustry ‘kwa kusema ukweli Mkataba wangu TheIndustry Umeisha,sijahama Label lakini kwa sasa sipo tena TheIndustry ila nipo na watu ambao tunasaidiana kazi na hao walikuwepo hata wakati nilipokuwa TheIndustry.’

GUSA HAPA KUISIKILIZA WIMBO WA ROSA REE DOW

Advertisements
%d bloggers like this: