Skip to content
Advertisements

UTATA WA HABARI WAIBUKA JUU YA CARDI B KUINGIA TUNDU MOJA NA BEYONCE

Rapa Cardi B amefanya kazi na wakali kibao wa muziki wa rap kama vile Kodak Black, Offset na G-Eazy, lakini sasa mkali huyu wa New York anaweza kuwa katika mipango ya kushirikiana na Malkia wa sauti na mke wa mkongwe wa muziki wa Rap Jay Z ‘Beyonce’.
Kupitia mtandao wa Instgaram, Siku ya Jumapili (Oktoba 22), muandaaji na mhandisi wa muziki wa Cardi B anayefahamika kwa jina ‘Ashby, aliweka picha faili la wimbo ambayo ilionyesha maneno, kama vile “Cardi B,” “Beyonce” na “Demo.” Wakati mhandisi hakutoa maelezo mengine yoyote zaidi tu aliandika hivi, “Wow kipengele hiki ni kikubwa.”

Advertisements
%d bloggers like this: