Skip to content
Advertisements

BREAKING NEWS: Hukumu ya Lulu kutolewa Novemba 13

Mahakama Kuu Tanzania chini ya Jaji Sam Rumanyika inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabili muigizaji Elizabeth Michael maarufu ‘Lulu” Novemba 13, 2017 

Hatua hiyo imefuata baada ya mahakama hiyo kufunga kusikiliza ushahidi wa pande zote mbili. 
Upande wa Mstakiwa uliongozwa na Wakili msomi Peter Kibatala, Huku Upande wa Jamhuri ukiongozwa na Wakili Faraja George.
Upande wa Jamhuri uliwasilisha mashahidi Nne, na Upande wa Mstakiwa uliwasilisha mashahidi Wawili. 

Advertisements
%d bloggers like this: