Skip to content
Advertisements

Nape atupa jiwe gizani “Kenya”

Mbunge wa Mtama “Nape Unawiye ” ametupa jiwe gizani juu ya uchaguzi unaoendelea huko nchini kenya kupitia account yake ya twitter Nape aliandika ujumbe uliosomeka.

“Unastahili kuwa Rais wa Kenya. Mwana demokrasia wa kweli. Naamini ndugu zangu wa Kenya watakuchagua kwa kishindo kesho na kumpuuza kibaraka!”

Ujumbe huu aliambatanisha na picha ya Uhuru Kenyatta.

Advertisements
%d bloggers like this: