Skip to content
Advertisements

NATAMANI SANA KUFANYA KAZI NA DIAMOND PLATNUMZ NA VANESSA MDEE – ROXANNE KALIE

Afunguka Model Aliyeshiriki Kwenye Video Mbili Za Omarion Ikiwemo Distance.

Kutoka Nchini Africa Ya Kusini Mrembo Ambaye Anafahamika Kwa Jina La Roxanne Jamie Kalie Ambaye Aliwahi Kuhusika Kwenye Video Ya Once Centimeter Ya Msanii Jaguar Kutoka Kenya,Collabo Ya P Square Na Hata Body On Me Pamoja Na Distance Za Mtumzima Omarion Kutoka Nchini Marekani.


Roxanne Ambye Pia Ni Mwigizaji Na Dj Kutoka Africa Ya Kusini Amepiga Story Na Digital Drimz Na Kuweka Wazi Kwa Upande Wa Africa Mashariki Kama Atapata Nafasi Ya Kufanya Kazi Na Wasanii Atafanya Na Wasanii Hawa..

“You Know It Would Be Really Cool If I Got The Opportunity To Work With Diamond Platnumz And Vanessa Mdee The Two Of Them Stand Out For Me A Lot And I Love The Work That tHey Put Out There And For Me I Could Creat Something In The Future In Any Project Or Video It Will Be Pretty Cool”


Amesema Roxanne Kalie Akizungumza Na Digital Drima Ambapo Tulitamani Atuambie Pia Ni Jambo Gani Amejifunza Baada Ya Kukutana Na Omarion Na Kufanya Naye Kazi Na Hivi ndivyo Alijibu.


“I Was Able To Spend Quite Time With Omarion When He Was In My Counrty But I Would Say I Did’nt Quite Learn From Omarion But What He Did Was Amaizing No Matter Where You Come From In The World But How You Treat People Is more Important I Saw First Hand Of Him Out Of Being Celebrity He Is Down Grounded Individual”


Amesema Roxanne Kalie Akiongeza Kuwa Kwa Upande Wake Kwa Sasa Anafanya Matangazo Zaidi Na Sio Video Za Muziki Na Hata Ikitokea Basi Huwa Anachagua Watu Wakufanya Nao Kazi Hiyo Itakuwa Na Manufaa Gani Kwake.

Advertisements
%d bloggers like this: