Skip to content
Advertisements

RAPPER 2 CHAINZ ATANGAZA KUWA ALBUM YAKE MPYA IKO NJIANI

Rapper Kutoka Nchini Marekani 2 Chainz Ikiwa Ni Wiki Tangu Aingie Kwenye Msala Wa Mashtaka Juu Ya Gari Yake Aina Ya Rolls Royce Wraith Ambayo Inadaiwa Kuwa Alitakiwa Kulipia Kiasi Kilichobaki Ambayo Ni Dola 18,317 Ambayo Jumla Ya Kukodi Gari Hiyo Ilikuwa Ni .Dola 262,212,Lakini Jamaa Akapotezea Kulipa Walipokuwa Wakimuomba Pesa Hiyo Ndipo Wakaamua Kualiamsha Dude Kwa Rapper Huyo.
Na Hiyo Si Kesi Ya 2chainz Bali Ni Watu Kibao Maarufu Wamekuwa Wakikutana Na Misala Ya Aina Hii Akiwemo Mkali Wakuitwa Swizz Beatz Ambaye Naye Aliingia Katika Msala Wa Aiana Hii.
Sasa Licha Ya Yote Hayo Rapper 2chainz Hajasita Kutangaza Ujio Wa Album Yake Mpya Kupitia Mtandao Wa Instagram Ambapo Alipost Picha Kadhaa Na Kuandika Kuwa.

Advertisements
%d bloggers like this: