Skip to content
Advertisements

Roma “mimi na date na Stamina”

Hitmaker wa ngoma ya Zimbabwe Roma Mkatoliki amefunguka kuwa yeye sio mtu wa mechi za ugenini na kwa sasa yeye ana date na Stamina.

Roma aliongea hayo kwenye kipindi cha You Head cha soud brown baada ya kuzagaa kwa picha ya socialite aitwae Agness akiwa kitandani na mwanaume ambaye ilisemekana kuwa ni Roma.

Agness akiwa na mwanaume inaesemekana ni Roma Mkatoliki


“Tuzungumze habari za fiesta Tanga itakuaje Soud we mwenyewe unajua kuwa hiyo sio mikato ya mkatoliki mimi na familia naiheshimu na sidhani kama umri unaruhusu kufanya mambo hayo mimi saizi na date na stamina tu”

Yalikuwa majibu ya Roma kwa soud brown.


Advertisements
%d bloggers like this: