Skip to content
Advertisements

Nahreel aweka wazi kibendi cha mpenzi wake

Penzi kati ya producer Nahreel na msanii Aika wanaounda kundi la Navykenzo linazidi kunoga na kubariki ambapo mrembo huyo amebahatika kupata ujauzito.

Stori ya mapenzi kwa wawili hao ilianzia Chuoni nchi India, na imeendelea kuwa kivutio kwa watu kutokana na ukaribu na mahaba walyionao, kwa sasa penzi hilo litazidi kuwa moto kwani wanategemea kupata mtoto wao wa kwanza anayesadikika kuwa ni wa kiume. 
Kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram Nahreel ameposti picha ya mrembo wake na kuandika “Dear #Gold we cant wait to see you ‘little guy”. 

Advertisements
%d bloggers like this: