Skip to content
Advertisements

Hatimaye vyombo vya habari vimeinasa picha ya mke wa Kim Jong Un

Hatimaye picha ya nadra kabisa ya rais wa Korea Kaskazini akiwa na mke wake pamoja na mdogo wake wa kike imeonekana


Hatimaye picha ya nadra kabisa ya rais wa Korea Kaskazini akiwa na mke wake pamoja na mdogo wake wa kike imeonekana.
Shirika la habari la KCNA limemuonyesha Kim Jong Un akiwa na mke wake Ri pamoja na mdogo wake wa kike Kim Yo Jong.
Kim Jong Un alikuwa na familia yake wakizunguka katika kampuni ya kutengeneza vipodozi.
Mke wa Kim Jong Un ameonekana akipendeza na nguo yake ya maua.

Advertisements
%d bloggers like this: