Skip to content
Advertisements

JUSTIN BEIBER NA SELENA GOMEZ WAREJESHA UKARIBU WAO

Ikiwa Ni Muda Tangu Mkali Wa Muziki Kutoka Nchini Marekani Ambaye Maskani Yake Ni Nchini Canada Justine Beiber Aakiri Kuachana Na Muziki Wa Kidunia Na Kuwekeza Nguvu Zake Katika Kumtukuza Mungu Tumekuwa Hatusikii Matukio Yoyote Yale Mabaya Kumuhusu Justine Beiber.
Sasa Siku Ya Jumapili Justin Beiber Ameonekana Na Selena Gomez Ambapo Walihudhuria Kanisani Na Pia Katika Mgahawa Mmoja Huko Westlake Village.
Kwa Mujibu Wa Chanzo Cha Habari Cha Tmz Justin Na Selena Walionekana Wakitoka Pamoja Lakini Pia Kwa Mujibu Wa Watu Wa Karibu Na Selena Wameweka Wazi Kuwa The Weekend Na Selena Wako Sawa Kabisa Na Hawana Tatizo Lolote.

Advertisements
%d bloggers like this: