Skip to content
Advertisements

Mwanamke mwingine katika king’ang’anyiro cha urais Urusi

Baada ya mtangazaji wa televisheni Kseniya Sobcak.sasa mwanamke mwingine amejitokeza kugombea nafasi ya urais nchini Urusi.

Baada ya mtangazaji wa televisheni Kseniya Sobcak.sasa mwanamke mwingine amejitokeza kugombea nafasi ya urais nchini Urusi.
Mwanahabari,Yakaterina Gordon ni mwanamke aliyejitokeza kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa 2018 nchini Urusi.
Kwa mujibu wa habari,Bi Gordon ametangaza wazi kuwa atakuwa sauti ya wanawake wote nchini humo.
Katika internet Gordon amesema kuwa ametumia haki yake kama raia wa Urusi kugombea kuwa rais wa nchi hiyo na anaamini yeye ndie mgombea pekee asiyepewa maamuzi na rais.

Advertisements
%d bloggers like this: