Skip to content
Advertisements

BOSS WA APPLE, TIM COOK NI SHOGA ANAYEJIVUNIA HILO NJE YA UTAJIRI ALIONAO

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya vifaa vya teknolojia na mawasiliano Apple, Tim Cook anabaki katika kumbukumbu ya matajiri mkubwa Duniani ambaye mwaka 2014 aliushangaza ulimwengu kwa kujivunia aina ya maisha anayoishi bila kujali inachukuliwa vitu Duniani kote.
Tim Cook ambaye leo ni siku ni siku muhimu na ya kumbukumbu kwake kwakuwa ni tarehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake kwa kutimiza umri wa miaka 57, 2014 aushangaza ulimwengu kwa kujitangaza kuwa mwanaume anayejihusisha na mahusiano ya jinsia moja(Shoga) na hakuwa mwenye wasi wasi juu ya kulitangaza hilo bali aliongeza kuwa najivunia kuwa hivyo.
Tim katika kuweka sawa kauli yake hiyo ya ujasiri wa kuifanya Dunia ujue, Tim alisema kuwa aliamua kujitangaza kuwa Shoga kwasababu anaamini kuwa yeye sio mwanaharakati katika hilo lakini ni katika kufungua milano ya wanaoogopa kuishi maisha yao binafsi yenye maudhui ya naman hiyo kuacha kuishi kwa kujificha ficha.
Hata hiyo hali kama ya kujitangaza pia ilionekana kwa msanii aliyekuwa chini ya usimamizi

lebo ‘OVO’ ya Rapa, Staa na muimbaji kutoka Kanada mwenye makazi yake nchini Marekani, Drake ‘LoveMakonnen’ ambaye naye mwanzoni mwa mwaka huu aliutumia mtandao wa kijamii kujitangaza kuwa ni shoga.

Kadhalika katika hili wa wasanii baadhi utumia ujumbe wna namna hii kwenda kwa mashabiki ili wapate nafasi ya kuzungumziwa zaidi huku ikiba kuwa sio kweli. Ukifatilia tena katika mitandao utagundua kuwa Rapa Lil Wayne mwaka 2014 pia naye aliutumia mtandao kupitia ukurasa wake wa Twitter kujitangaza kuwa alipima Afya na imegundulika kuwa ni muathirika wa virusi vya UKIMWI, ujumbe ambao haukubainika kama ni ukweli kwakuwa ingekuwa rahisi mashabiki kubaki wakiamini kuwa ni kweli endapo wangeshuhudi japo picha ya karatasi mahususi zinazotumiwa na wahudumu wanaokubalika kitabibu kama matokeo ya alichokisema.

Advertisements
%d bloggers like this: