Skip to content
Advertisements

Video;Mama dogo janja amkingia kifua mwanae kumuoa Uwoya 

Baada ya kudhibitika kwa taarifa zilizokuwa zinaaminika kuwa ni kiki kuwa msanii Abdulazizi Chende kumuoa msanii wa bongo movie Irene Uwoya.

Mama mzazi wa Dogo janja amefunguka na kuthibitisha kuwa ni kweli mwanae ameoa na aliyemuoa ni Irene Uwoya mama amesema alishindwa kuhudhuria sababu ya kukosa nafasi.

Mama pia aliongeza kuwa kwa wale wanaodai mwanae ameoa mwanamke mkubwa kuwa katika dini hiyo ni sunnah sababu hata mtume (SWW) alioa mwanamke aliyemzidi umri.

Advertisements
%d bloggers like this: