Skip to content
Advertisements

Nyalandu atema cheche 

Lazalo Nyalandu

Aliyekuwa mbunge wa Singida Lazaro Nyalandu ametema cheche kwa baadhi ya watu wanaotoa taarifa za uongo juu ya kujiuzulu kwake. 

Akijibu maswali hayo Nyalandu amesema yeye hakuwahi kupokea barua yoyote ya kufukuzwa CCM ameamua kujiuzulu kwa sababu ya mambo aliyoyaweka wazi siku aliyojiuzulu.

Pia Nyalandu aliwajibu wale wanaodai kuwa ameondoka CCM kwa kukosa nafasi ya Uwaziri amedai hizo ni habari za uongo kwakuwa nafasi zote hizo ameshazipitia akiwa CCM.

Advertisements
%d bloggers like this: