Skip to content
Advertisements

Video;Nyandu ft Young Dee and Chin beez

Msanii anaewakilisha kundi la B.O.B Click Nyandu Toz kutoka Kinondoni jijini Dar es Salaam ametoa Video ya wimbo wake mpya wa Double Double wimbo ambao amewashirikisha miongoni mwa wasanii wanaofanya vizuri kwa sasa Young Dee pamoja na Chin Beez msanii ambaye anafanya kazi chini ya Wanene Entertainment.

Advertisements
%d bloggers like this: