Skip to content
Advertisements

Kutoka mtaani mpaka ushuani! Jarida la Guardian Life lampa shavu Patoranking

Kila mwenye mafanikio ana stori juu ya kuyapata mafanikio hayo na ndiyo maana jarida la Guardian kupitia kipengere cha Life, kutoka Nigeria limempa shavu mkali wa muziki Patoranking kuelezea mambo kadhaa yanayohusu maisha yake kabla ya kuingia katika game.

Patoranking pia amezungumzia maisha aliyokulia Ebute Metta pamoja na jina lake aliloliamini kabla ya mafanikio.

Advertisements
%d bloggers like this: