Skip to content
Advertisements

KYLIE JENNER AKANUSHA KUWA NA UJAUZITO

Mwezi Umepita Mtaoni Kulichafuka Na Taarifa Za Kuwa Mdogo Wake Kim Kardashian Kylie Ana Ujauzito Ambayo Ilidaiwa Ameupata Toka Kwa Boyfriend Wake Ambaye Ni Rapper Tavis Scott.
Japo Taarifa Hizo Hawakuzitoa Wao Wenyewe Yaani Kylie Au Travis Ila Tetesi Zilizidi Kuchukua Nafasi Na Sura Mpya Kila Leo Kuwa Binti Huyo Anatarajia Kupata Mtoto Na Rapper Travis Na Hadi Ikadaiwa Kuwa Wawili Hao Wametenga Dola Za Kimarekani 70,000$ Kwajili Ya Mahitaji Na Vitu Vya Mtoto


Jambo Ambalo Mpaka Sasa Limeonekana Kuwa Ni Uongo Baada Ya Kylie Jenner Kufungukia Chanzo Kimoja Cha Habari Na Kudai Kuwa Pale Dhumuni La Picha Ilikuwa Nikuongopea Watu Kwa Hivyo Maana Yake Hana Ujauzito Na Wala Asiwekwe Katika Orodha Ya Wanafamilia Wake Wanaotarajia Kupata Mtoto.

Advertisements
%d bloggers like this: