Skip to content
Advertisements

MSANII SIA AACHIA PICHA ZAKE ZA UCHI KUMKOMOA MPIGA PICHA

Msanii Sia Kate Isobelle Furler kutoka nchini Australian ameamua kuachia picha zake za utupu.
Msanii huyo ameamua kufanya hivyo baada ya mtu mmoja ambaye anadaiwa kuwa ndio alimpiga picha hizo bila kujijua kuanza kutangaza kuziuza picha hizo.

Sia ameweka picha hiyo katika mtandao wake wa Twitter na kuandika, “Someone is apparently trying to sell naked photos of me to my fans. Save your money, here it is for free. Everyday is Christmas!.”

Advertisements
%d bloggers like this: