Skip to content
Advertisements

VIDEO; MAJIBU YA MASTAA WA MBELE KUHUSU KIFUNGO CHA MEEK MILL

Baada ya rapper Meek Mill kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela mastaa mbalimbali kutoka mbele wameonyesha hisia zao kwa kitendo hicho.Nick Minaj aliyewahi kuwa mpenzi wa Meek Mill nae ni mmoja wa mstaa waliotumia ukurasa wake wa Instagram kuonyesha hisia zake juu ya tukio hilo.

https://youtu.be/cOXYp8M3RLg

Advertisements
%d bloggers like this: