Skip to content
Advertisements

DIAMOND KUACHIA NGOMA YAKE NA RICK ROSS DECEMBER 1

Diamond Platnumz amedai kuwa wimbo wake aliomshirikisha Rick Ross utaaachiwa rasmi December 1. Staa ameitaja tarehe hiyo kwenye mahojiano na kituo cha redio cha The Beat London.
Wimbo huo utapatikana kwenye album yake ijayo, A Boy From Tandale. Yupo nchini Uingereza ambako anafanya media tour. Ameongozana na mpenzi wake, Zari.

Advertisements
%d bloggers like this: