Skip to content
Advertisements

TAHIYA AMUOMBA RADHI ZARI THE BOSSLADY KWA VIDEO YAKE ‘TATA’

Mrembo na mtangazaji wa TV, Tahiya J. George, amemuomba radhi Zari The Bosslady kutokana na hivi karibuni kusambaa video akiwa na Diamond iliyozua utata. Amedai kuwa watu wengi hawajui kuwa yeye na Diamond ni ndugu lakini akadai kuwa kama video hiyo ilimkwaza Zari, mchumba wake na Diamond basi amsamehe.

“I do respect Zari a lot,” ameiambia Dizzim Online. “I respect Diamond a lot as well, and I respect all kama mke na mume. And kama Zari amechukulia vibaya ile situation I think it’s time I apologize because I never really meant anything bad,” aliongeza.
“Sikutemea kama watanzania wangeweza kuiona issue ile vile.”
Tahiya aliingia kwenye headline baada ya kupost video Snapchat huku kitandani kukiwa na Diamond Karanga na watu kuvumisha kuwa alikuwa Madale kwa Diamond. Amesema kwa miaka mingi sana amekuwa akitoa support kwa kazi za Diamond na wasanii wote wa WCB.

Advertisements
%d bloggers like this: