Skip to content
Advertisements

Bob Wangwe ahukumiwa mwaka mmoja jela

KISUTU, DAR: Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu jijini Dar Es Salaam, imehukumu Mtoto wa marehemu Chacha Wangwe aliyekuwa mbunge kwa ticket ya CHADEMA, Bob Wangwe kifungo cha mwaka mmoja na nusu jela au faini ya Sh. Milioni 5, baada ya kukutwa na hatia katika kesi ya Makosa ya Mtandao.Ikumbukwe kesi ya Bob Wangwe imekuwa ikisikilizwa kwa miezi kadhaa .

Advertisements
%d bloggers like this: