Skip to content
Advertisements

Kiongozi wa upinzani Morgan Tsvangirai arejea Harare

Kiongozi wa chama cha upinzani cha Movement for Democratic Change (MDC) Morgan Tsvangirai amerejea nchini Zimbabwe.
Bw Tsvangirai amekwua akipokea matibabu ya saratani nje ya nchi hiyo.
Msemaji wa chama hicho amesema kiongozi huyo alirejea Harare Jumatano jioni. Kurejea kwake kunazidisha uvumi wa kuafikiwa kwa makubaliano ya hali ya kisiasa baada ya Mugabe.

Advertisements
%d bloggers like this: