Skip to content
Advertisements

Divido amsaini msanii mpya kwenye lebal yake ya DMW

Boss wa DMW, Davido leo hii amemsaini msanii mpya anayeitwa peruzzi_vibes kwenye record label yake ya DMW.
@davidoofficial ameonesha furaha yake kupitia mitandao ya kijamii baada ya kupost ujio wa msanii huyo kwenye record label yake hiyo na post yake Davido kupitia ukurasa wake wa twitter imepokewa kwa comments nyingi na mashabiki wake.
Mpaka sasa DMW imefikisha wasanii saba ambao ni Davido, Dremo, Mayorkun, Yonda, Ichaba, peruzzi_vibes pamoja na mdada mmoja ambaye ni Lola Rae
mashabiki wa label hiyo wana shauku ya kujua nini kipya amekuja nacho msanii huyo peruzzi_vibes.

Advertisements
%d bloggers like this: