Skip to content
Advertisements

Ulipaji kodi za nyumba kubadilika 

Serikali imesema ipo katika mchakato wa kuanzisha mamlaka itakayosimamia masuala yote ya nyumba
Kwenye sheria mpya ambayo itapelekwa bungeni itafuta wapangaji wa nyumba kulipa kodi kwa miezi 6 hadi mwaka mmoja kwa kuwa inaumiza watu wengi, badala yake watakuwa wanalipa kwa mwezi mmoja mmoja
Kodi itakua inalipwa kwa mwezi mmoja na utatakiwa kuweka amana ya miezi mitatu kwa ajili ya shughuli nyingine

Advertisements
%d bloggers like this: