Skip to content
Advertisements

Nyashinshki;Hafanyi interview bila milioni 20

Rapper kutokea kenya anaetamba na ngoma ya Malaika, Nyashinshki amedai na kusema kuwa kwa sasa anataka kulipwa kiasi cha shilingi milioni moja za Kenya ambazo ni sawa na milioni 20 za Kitanzania kautika kila interview atakayoalikwa.
 “Alisema anataka tumlipe ndio aje kwenye show, Asipochunga ata-fade haraka, Nasikia amekuwa akiifanya hata studio fulani hivyo. Kwani yeye ni nani?,” limeandika gazeti moja Nchini Kenya wakati wakimnukuu mmoja ya waaandishi ambao walikataliwa na Nyashinski kufanya mahojiano.
Nyashinski amedaiwa kuwa alikataa kufanya mahojiano hayo na kipindi kikubwa nchini humo cha runinga ambacho kinaruka kila siku za Ijumaa usiku.

Advertisements
%d bloggers like this: