Skip to content
Advertisements

Nyota ndogo alia na Uhuru kuhusu mimba

Msanii nyota ndogo kutoka Kenya ametoa ujumbe Wake kwa raisi mteule wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta ambaye amebakiza siku 3 kuapishwa kwake akitumia account yake ya Instagram Nyota ndogo aliandika ujumbe ufuatao.

Ujumbe wangu kwa rahisi wa jamuhuri ya kenya @president.of.kenya .bado siku tatu uwapishwe na kutuongoza wakenya tena kwa miaka mitano.#OMBILANGU.nakuomba uwaonee wanawake huruma na uwape kipao mbale maana ndio mama zetu dadazetu na bibi zetu sio? NAOMBA UWEKE SHERIA YA MIMBA.WEKA SHERIA KUA MWANAMKE YEYOTE ATAKAEPATIKANA NI MJA MZITO BASI MWENYE MIMBA ILE NILAZIMA KUILEA ILE MIMBA NA KUMLEA YULE MTOTO MAANA NIWAKE AMA KIWANGO CHA MSHAHARA WAKE UENDE KWA MAMA MTOTO KWAAJILI YA KULEA HUYO MTOTO.WAUME WENGINE UWACHA WAKE ZAO WAKAENDA TIA MIMBA NJE AKAKUKIMBIA UKIMUULIZA ANAKWAMBIA NIPO NA MKE.KWAIVYO HUYU MTOTO MAMA ANAISHIA KUMLEA MWENYEWE KWASHIDA NA NDIO WENGINE USHINDWA WAKAISHIA KUTOA ZILE MIMBA.PLZ WEKA SHERIA HII TAFADHALI @uhurukenyatta itasaidia sana pia waume kujali plzz #SHERIAKWAAJILIYAWANAWAKE…KAMA WEWE NI MWANAMKE NA UNANISAPOTI PLZZ TAG RAIS NA UTAG MTU UNAEFIKIRIA IKIMFIKIA ITAMFIKIRIA NA RAISI.KAMA NIDHAMBI TUMEFANYA PAMOJA KWANINI NIBEBE UKUMÙ PEKEANGU😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭..sio tabia yangu kutag watu but Leo nitawatag hawa watu muimu.

A post shared by nyota ndogo nielsen (@nyota_ndogo) on

Advertisements
%d bloggers like this: